1 Nyakati 27:34
1 Chronicles 27:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya Ahithofeli, Yehoyada mwana wa Benaya aliingia mahali pake kama mshauri wa mfalme pamoja na Abiathari. Yoabu alikuwa ndiye jemadari wa majeshi ya mfalme.
1 Chronicles 27:34 in English
1 Chronicles 27:34 · Berean Standard Bible
Ahithophel was succeeded by Jehoiada son of Benaiah, then by Abiathar. Joab was the commander of the king’s army.
Context
32Yonathani mjomba wa Daudi alikuwa mshauri, mtu mwenye ufahamu mkubwa na mwandishi. Yehieli mwana wa Hakmoni alikuwa akiwahudumia wana wa mfalme. 33Ahithofeli alikuwa mshauri wa mfalme.
Hushai Mwariki alikuwa rafiki wa mfalme. 34Baada ya Ahithofeli, Yehoyada mwana wa Benaya aliingia mahali pake kama mshauri wa mfalme pamoja na Abiathari.
Yoabu alikuwa ndiye jemadari wa majeshi ya mfalme.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.