1 Nyakati 24:1
1 Chronicles 24:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hii ndiyo migawanyo ya wana wa Aroni: Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
1 Chronicles 24:1 in English
1 Chronicles 24:1 · Berean Standard Bible
These were the divisions of the descendants of Aaron. The sons of Aaron were Nadab, Abihu, Eleazar, and Ithamar.
Context
1Hii ndiyo migawanyo ya wana wa Aroni:
Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari. 2Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, nao hawakuwa na wana; kwa hiyo ndugu zao Eleazari na Ithamari wakahudumu kama makuhani. 3Akisaidiwa na Sadoki mwana wa Eleazari na Ahimeleki mwana wa Ithamari, Daudi aliwapanga wazao wa Aroni katika migawanyo kufuatana na wajibu wa huduma zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.