Zekaria 5:1
Zechariah 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kilichoruka!
Zechariah 5:1 in English
Zechariah 5:1 · Berean Standard Bible
Again I lifted up my eyes and saw before me a flying scroll.
Context
1Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kilichoruka! 2Akaniuliza, “Unaona nini?”
Nikamjibu, “Naona kitabu kinachoruka chenye, urefu wa dhiraa ishirini* na upana wa dhiraa kumi.”* 3Akaniambia, “Hii ni laana inayotoka kwenda juu ya nchi yote, kwa kuwa kufuatana na yale yaliyoandikwa katika upande mmoja, kila mwizi atafukuziwa mbali, pia kufuatana na yaliyo upande wa pili, kila aapaye kwa uongo atafukuziwa mbali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.