Tito 2:6
Titus 2:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vivyo hivyo, himiza vijana wawe na kiasi.
Titus 2:6 in English
Titus 2:6 · Berean Standard Bible
In the same way, urge the younger men to be self-controlled.
Context
4ili waweze kuwafundisha wanawake vijana kuwa na kiasi, wawapende waume zao na kuwapenda watoto wao, 5wawe waaminifu, watakatifu, wakitunza vyema nyumba zao, wema, watiifu kwa waume zao, ili mtu yeyote asije akalikufuru neno la Mungu. 6Vivyo hivyo, himiza vijana wawe na kiasi. 7Katika kila jambo uwe kielelezo kwa kutenda mema. Katika mafundisho yako uonyeshe uadilifu, utaratibu, 8na usemi sahihi usio na lawama, ili wanaokupinga watahayari, wakose neno lolote baya la kusema juu yetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.