Native Bible

Song of Songs 2:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpaka jua linapochomoza, na vivuli vikimbie, rudi, mpenzi wangu, na uwe kama paa, au kama ayala kijana juu ya vilima vya Betheri.

Song of Songs 2:17 in English

Song of Songs 2:17 · Berean Standard Bible

Before the day breaks and shadows flee, turn, my beloved, and be like a gazelle or a young stag on the mountains of Bether.*

Context

15Tukamatie mbweha, mbweha wale wadogo wanaoharibu mashamba ya mizabibu, mashamba yetu ya mizabibu yaliyochanua. 16Mpenzi wangu ni wangu, nami ni wake, yeye hujilisha katikati ya yungiyungi. 17Mpaka jua linapochomoza, na vivuli vikimbie, rudi, mpenzi wangu, na uwe kama paa, au kama ayala kijana juu ya vilima vya Betheri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.