Warumi 7:10
Romans 7:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nikaona kwamba ile amri iliyokusudiwa kuleta uzima, ilileta mauti.
Romans 7:10 in English
Romans 7:10 · Berean Standard Bible
So I discovered that the very commandment that was meant to bring life actually brought death.
Context
8Lakini dhambi kwa kupata nafasi katika amri, hii ikazaa ndani yangu kila aina ya tamaa. Kwa maana pasipo sheria, dhambi imekufa. 9Wakati fulani nilikuwa hai pasipo sheria, lakini amri ilipokuja, dhambi ikawa hai, nami nikafa. 10Nikaona kwamba ile amri iliyokusudiwa kuleta uzima, ilileta mauti. 11Kwa maana dhambi kwa kupata nafasi katika amri, ilinidanganya, na kupitia katika hiyo amri, ikaniua. 12Hivyo basi, sheria yenyewe ni takatifu, na amri ni takatifu na ya haki, tena ni njema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.