Native Bible

Romans 15:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninajua kwamba nitakapokuja kwenu, nitakuja na wingi wa baraka za Kristo.

Romans 15:29 in English

Romans 15:29 · Berean Standard Bible

I know that when I come to you, I will come in the fullness of the blessing * of Christ.

Context

27Imewapendeza kufanya hivyo, naam, kwani ni wadeni wao. Kwa maana ikiwa watu wa Mataifa wameshiriki baraka za rohoni za Wayahudi, wao ni wadeni wa Wayahudi, ili Wayahudi nao washiriki baraka zao za mambo ya mwilini. 28Kwa hiyo baada ya kukamilisha kazi hii na kuhakikisha kuwa wamepokea kila kitu kilichokusanywa, nitapitia kwenu nikiwa njiani kwenda Hispania. 29Ninajua kwamba nitakapokuja kwenu, nitakuja na wingi wa baraka za Kristo. 30Basi, ndugu zangu, nawasihi kwa Jina la Bwana wetu Yesu Kristo na kwa upendo wa Roho Mtakatifu, kujiunga nami katika taabu zangu mkiniombea kwa Mungu. 31Ombeni ili nipate kuokolewa mikononi mwa wale wasioamini walioko Uyahudi, na kwamba utumishi wangu upate kukubaliwa na watakatifu wa huko Yerusalemu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.