Warumi 12:7
Romans 12:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama ni kuhudumu na tuhudumu, mwenye kufundisha na afundishe,
Romans 12:7 in English
Romans 12:7 · Berean Standard Bible
if it is serving, let him serve; if it is teaching, let him teach;
Context
5vivyo hivyo na sisi tulio wengi, tu mwili mmoja katika Kristo, nasi kila mmoja ni kiungo cha mwenzake. 6Tuna karama zilizotofautiana kila mmoja kutokana na neema tuliyopewa. Kama ni unabii na tutoe unabii kwa kadiri ya imani. 7Kama ni kuhudumu na tuhudumu, mwenye kufundisha na afundishe, 8kama ni kutia moyo na atie moyo, kama ni kuchangia kwa ajili ya mahitaji ya wengine na atoe kwa ukarimu, kama ni uongozi na aongoze kwa bidii, kama ni kuhurumia wengine na afanye hivyo kwa furaha. 9Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.