Native Bible

Revelation 3:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa.”

Revelation 3:22 in English

Revelation 3:22 · Berean Standard Bible

He who has an ear, let him hear what the Spirit says to the churches.”

Context

20Tazama! Nasimama mlangoni nabisha. Kama mtu yeyote akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia ndani na kula pamoja naye, naye pamoja nami. 21“Yeye ashindaye nitampa haki ya kuketi pamoja nami kwenye kiti changu cha enzi, kama vile mimi nilivyoshinda na nikaketi pamoja na Baba yangu kwenye kiti chake cha enzi. 22Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.