Native Bible

Revelation 16:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mvua kubwa ya mawe yenye uzito wa talanta moja* ikashuka kutoka mbinguni, ikawaangukia wanadamu. Nao wanadamu wakamlaani Mungu kwa ajili ya hayo mapigo ya mvua ya mawe, kwa sababu pigo hilo lilikuwa la kutisha.

Revelation 16:21 in English

Revelation 16:21 · Berean Standard Bible

And great hailstones weighing almost a hundred pounds each * rained down on them from above. And men cursed God for the plague of hail, because it was so horrendous.

Context

19Ule mji mkubwa ukagawanyika katika sehemu tatu, nayo miji ya mataifa ikaanguka. Mungu akaukumbuka Babeli Mkuu na kumpa kikombe kilichojaa mvinyo wa ghadhabu ya hasira yake. 20Kila kisiwa kikatoweka wala milima haikuonekana. 21Mvua kubwa ya mawe yenye uzito wa talanta moja* ikashuka kutoka mbinguni, ikawaangukia wanadamu. Nao wanadamu wakamlaani Mungu kwa ajili ya hayo mapigo ya mvua ya mawe, kwa sababu pigo hilo lilikuwa la kutisha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.