Ufunuo 11:14
Revelation 11:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ole ya pili imekwisha kupita, tazama ole ya tatu inakuja upesi.
Revelation 11:14 in English
Revelation 11:14 · Berean Standard Bible
The second woe has passed. Behold, the third woe is coming shortly.
Context
12Kisha wale manabii wawili wakasikia sauti kuu kutoka mbinguni ikiwaambia, “Njooni huku juu!” Nao wakapaa mbinguni katika wingu, wakati adui zao wakiwa wanawatazama. 13Saa iyo hiyo, kukatokea tetemeko kubwa la nchi na sehemu ya kumi ya mji ikaanguka. Watu elfu saba wakauawa katika tetemeko hilo, nao walionusurika wakaogopa sana, wakamtukuza Mungu wa mbinguni. 14Ole ya pili imekwisha kupita, tazama ole ya tatu inakuja upesi. 15Yule malaika wa saba akaipiga tarumbeta yake, pakawa na sauti kubwa mbinguni iliyosema:
“Ufalme wa ulimwengu umekuwa ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake,
naye atatawala milele na milele.” 16Nao wale wazee ishirini na wanne, waliokuwa wameketi mbele za Mungu, kwenye viti vyao vya enzi, wakaanguka kifudifudi, wakamwabudu Mungu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.