Native Bible

Revelation 1:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Basi andika mambo uliyoyaona, yaliyopo na yale yatakayotukia baada ya haya.

Revelation 1:19 in English

Revelation 1:19 · Berean Standard Bible

Therefore write down the things you have seen, and the things that are, and the things that will happen after this.

Context

17Nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama aliyekufa. Ndipo akauweka mkono wake wa kuume juu yangu na kusema: “Usiogope, Mimi ndiye wa Kwanza na wa Mwisho. 18Mimi ni Yeye Aliye Hai, niliyekuwa nimekufa, na tazama, ni hai milele na milele! Nami ninazo funguo za mauti na kuzimu.* 19“Basi andika mambo uliyoyaona, yaliyopo na yale yatakayotukia baada ya haya. 20Kuhusu siri ya zile nyota saba ulizoziona katika mkono wangu wa kuume na vile vinara saba vya taa vya dhahabu ni hii: Zile nyota saba ni malaika wa yale makanisa saba, navyo vile vinara saba ni hayo makanisa saba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.