Native Bible

Psalms 51:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa wema wa radhi yako uifanye Sayuni istawi, ukazijenge upya kuta za Yerusalemu.

Psalms 51:18 in English

Psalms 51:18 · Berean Standard Bible

In Your good pleasure, cause Zion to prosper; build up the walls of Jerusalem.

Context

16Wewe hupendezwi na dhabihu, au ningaliileta, hufurahii sadaka za kuteketezwa. 17Bali dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika, moyo uliovunjika wenye toba, Ee Mungu, hutaudharau. 18Kwa wema wa radhi yako uifanye Sayuni istawi, ukazijenge upya kuta za Yerusalemu. 19Hapo ndipo kutakapokuwa na dhabihu za haki, sadaka nzima za kuteketezwa za kukupendeza sana, pia mafahali watatolewa madhabahuni mwako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.