Native Bible

Psalms 31:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuweni hodari na mjipe moyo, ninyi nyote mnaomtumaini Bwana.

Psalms 31:24 in English

Psalms 31:24 · Berean Standard Bible

Be strong and courageous, all you who hope in the LORD.

Context

22Katika hofu yangu nilisema, “Nimekatiliwa mbali na macho yako!” Hata hivyo ulisikia kilio changu ukanihurumia nilipokuita unisaidie. 23Mpendeni Bwana ninyi watakatifu wake wote! Bwana huwahifadhi waaminifu, lakini wenye kiburi huwalipiza kikamilifu. 24Kuweni hodari na mjipe moyo, ninyi nyote mnaomtumaini Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.