Native Bible

Psalms 15:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana, ni nani awezaye kukaa katika Hekalu lako? Nani awezaye kuishi katika mlima wako mtakatifu?

Psalms 15:1 in English

Psalms 15:1 · Berean Standard Bible

O LORD, who may abide in Your tent? Who may dwell on Your holy mountain?

Context

1Bwana, ni nani awezaye kukaa katika Hekalu lako? Nani awezaye kuishi katika mlima wako mtakatifu? 2Ni yule aendaye pasipo mawaa, atendaye yaliyo haki, asemaye kweli toka moyoni mwake, 3na hana masingizio ulimini mwake, asiyemtenda jirani yake vibaya, na asiyemsingizia mwenzake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.