Native Bible

Psalms 143:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, sikia sala yangu, sikiliza kilio changu unihurumie; katika uaminifu na haki yako njoo unisaidie.

Psalms 143:1 in English

Psalms 143:1 · Berean Standard Bible

O LORD, hear my prayer. In Your faithfulness, give ear to my plea; in Your righteousness, answer me.

Context

1Ee Bwana, sikia sala yangu, sikiliza kilio changu unihurumie; katika uaminifu na haki yako njoo unisaidie. 2Usimhukumu mtumishi wako, kwa kuwa hakuna mtu anayeishi aliye mwenye haki mbele zako. 3Adui hunifuatilia, hunipondaponda chini; hunifanya niishi gizani kama wale waliokufa zamani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.