Native Bible

Psalms 141:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, ninakuita wewe, uje kwangu hima. Sikia sauti yangu ninapokuita.

Psalms 141:1 in English

Psalms 141:1 · Berean Standard Bible

I call upon You, O LORD; come quickly to me. Hear my voice when I call to You.

Context

1Ee Bwana, ninakuita wewe, uje kwangu hima. Sikia sauti yangu ninapokuita. 2Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba; kuinua mikono yangu juu na kuwe kama dhabihu ya jioni. 3Ee Bwana, weka mlinzi kinywani mwangu, weka ulinzi mlangoni mwa midomo yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.