Zaburi 131:3
Psalms 131:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Israeli, mtumaini Bwana tangu sasa na hata milele.
Psalms 131:3 in English
Psalms 131:3 · Berean Standard Bible
O Israel, put your hope in the LORD, both now and forevermore.
Context
1Moyo wangu hauna kiburi, Ee Bwana,
macho yangu hayajivuni;
sijishughulishi na mambo makuu kunizidi
wala mambo ya ajabu mno kwangu. 2Lakini nimetuliza na kunyamazisha nafsi yangu;
kama mtoto aliyeachishwa kunyonya na mama yake,
kama mtoto aliyeachishwa kunyonya
ndivyo ilivyo nafsi iliyoko ndani yangu. 3Ee Israeli, mtumaini Bwana
tangu sasa na hata milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.