Zaburi 117
Psalms 117 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
1Msifuni Bwana, enyi mataifa yote;
mtukuzeni yeye, enyi watu wote. 2Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,
uaminifu wa Bwana unadumu milele.
Msifuni Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.