Zaburi 10:17
Psalms 10:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Unasikia, Ee Bwana, shauku ya wanaoonewa, wewe huwatia moyo, na kusikiliza kilio chao,
Psalms 10:17 in English
Psalms 10:17 · Berean Standard Bible
You have heard, O LORD, the desire of the humble; You will strengthen their hearts. You will incline Your ear,
Context
15Vunja mkono wa mtu mwovu na mbaya,
mwite atoe hesabu ya maovu yake
ambayo yasingejulikana. 16Bwana ni Mfalme milele na milele,
mataifa wataangamia watoke nchini mwake. 17Unasikia, Ee Bwana, shauku ya wanaoonewa,
wewe huwatia moyo, na kusikiliza kilio chao, 18ukiwatetea yatima na walioonewa,
ili mwanadamu, ambaye ni udongo, asiogopeshe tena.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.