Mithali 8:36
Proverbs 8:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini yeyote ashindwaye kunipata hujiumiza mwenyewe; na wote wanichukiao mimi hupenda mauti.”
Proverbs 8:36 in English
Proverbs 8:36 · Berean Standard Bible
But he who fails to find me harms himself; all who hate me love death.”
Context
34Heri mtu yule anisikilizaye mimi,
akisubiri siku zote malangoni mwangu,
akingoja kwenye vizingiti vya mlango wangu. 35Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima
na kujipatia kibali kutoka kwa Bwana. 36Lakini yeyote ashindwaye kunipata
hujiumiza mwenyewe;
na wote wanichukiao mimi hupenda mauti.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.