Mithali 4:24
Proverbs 4:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Epusha kinywa chako na ukaidi; weka mazungumzo machafu mbali na midomo yako.
Proverbs 4:24 in English
Proverbs 4:24 · Berean Standard Bible
Put away deception from your mouth; keep your lips from perverse speech.
Context
22kwa sababu ni uzima kwa wale wanaoyapata
na afya kwa mwili wote wa mwanadamu. 23Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo,
maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. 24Epusha kinywa chako na ukaidi;
weka mazungumzo machafu mbali na midomo yako. 25Macho yako na yatazame mbele,
kaza macho yako moja kwa moja mbele yako. 26Sawazisha mapito ya miguu yako
na njia zako zote ziwe zimethibitika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.