Native Bible

Proverbs 22:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani lililowekwa na baba zako.

Proverbs 22:28 in English

Proverbs 22:28 · Berean Standard Bible

Do not move an ancient boundary stone which your fathers have placed.

Context

26Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani, au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni. 27Kama ukikosa njia ya kulipa, kitanda chako kitachukuliwa ukiwa umekilalia. 28Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani lililowekwa na baba zako. 29Je, unamwona mtu stadi katika kazi yake? Atahudumu mbele ya wafalme; hatahudumu mbele ya watu duni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.