Mithali 18:16
Proverbs 18:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Zawadi humfungulia njia mtoaji, nayo humleta mbele ya wakuu.
Proverbs 18:16 in English
Proverbs 18:16 · Berean Standard Bible
A man’s gift opens doors for him, and brings him before great men.
Context
14Roho ya mtu itastahimili katika ugonjwa
bali roho iliyovunjika ni nani awezaye kuistahimili? 15Moyo wa mwenye ufahamu hujipatia maarifa,
masikio ya mwenye hekima huyatafuta maarifa. 16Zawadi humfungulia njia mtoaji,
nayo humleta mbele ya wakuu. 17Yeye aliye wa kwanza kuleta mashtaka huonekana sahihi,
hadi mwingine ajitokezapo na kumuuliza maswali. 18Kupiga kura hukomesha mashindano
na kutenganisha wapinzani wakuu wanaopingana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.