Wafilipi 4:2
Philippians 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nawasihi Euodia na Sintike wawe na nia moja katika Bwana.
Philippians 4:2 in English
Philippians 4:2 · Berean Standard Bible
I urge Euodia and Syntyche to agree with each other in the Lord.
Context
1Kwa hiyo, ndugu zangu, ninaowapenda na ambao ninawaonea shauku, ninyi mlio furaha yangu na taji yangu, hivi ndivyo iwapasavyo kusimama imara katika Bwana, ninyi wapenzi wangu. 2Nawasihi Euodia na Sintike wawe na nia moja katika Bwana. 3Naam, nakusihi wewe pia, mwenzangu mwaminifu, uwasaidie hawa wanawake, kwa sababu walijitaabisha katika kazi ya Injili pamoja nami bega kwa bega, wakiwa pamoja na Klementi na watendakazi wenzangu ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima. 4Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.