Native Bible

Numbers 8:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose,

Numbers 8:1 in English

Numbers 8:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Moses,

Context

1Bwana akamwambia Mose, 2“Sema na Aroni umwambie, ‘Wakati utakapoziweka zile taa saba, zinatakiwa kuangaza eneo lililo mbele ya kinara cha taa.’ ” 3Aroni akafanya hivyo; akaziweka zile taa ili zielekee mbele kwenye kinara cha taa, kama vile Bwana alivyomwamuru Mose.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.