Native Bible

Numbers 6:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake yeye ni wakfu kwa Bwana.

Numbers 6:8 in English

Numbers 6:8 · Berean Standard Bible

Throughout the time of his separation, he is holy to the LORD.

Context

6Kwa kipindi chochote cha kujitenga kwa ajili ya Bwana hatakaribia maiti. 7Hata kama baba yake mwenyewe au mama au kaka au dada akifa, hatajinajisi mwenyewe kwa taratibu za ibada kwa ajili yao, kwa sababu ishara ya kujiweka wakfu kwake kwa Mungu ipo katika kichwa chake. 8Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake yeye ni wakfu kwa Bwana. 9“ ‘Kama mtu yeyote akifa ghafula karibu naye, atakuwa ametiwa unajisi nywele zake alizoziweka wakfu, hivyo ni lazima anyoe nywele zake siku ya utakaso wake, yaani siku ya saba. 10Kisha siku ya nane ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa kwa kuhani katika mlango wa Hema la Kukutania.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.