Hesabu 5:1
Numbers 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akamwambia Mose,
Numbers 5:1 in English
Numbers 5:1 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses,
Context
1Bwana akamwambia Mose, 2“Waamuru Waisraeli kumtoa nje ya kambi mtu yeyote ambaye ana ugonjwa wa ngozi uambukizao,* au anayetokwa na majimaji ya aina yoyote, au ambaye ni najisi kwa utaratibu wa ibada kwa sababu ya maiti. 3Hii itakuwa ni kwa wote, yaani, wanaume na wanawake; watoeni nje ya kambi ili wasije wakanajisi kambi yao, ambamo ninaishi miongoni mwao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.