Native Bible

Numbers 33:56 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha nitawatenda ninyi kile ambacho nimepanga kuwatenda wao.’ ”

Numbers 33:56 in English

Numbers 33:56 · Berean Standard Bible

And then I will do to you what I had planned to do to them.”

Context

54Mtaigawanya nchi hiyo kwa kupiga kura, kufuatana na koo zenu. Kwa kundi kubwa zaidi toa urithi mkubwa zaidi, na kwa kundi dogo zaidi urithi mdogo zaidi. Chochote kinachowaangukia kwa kura kitakuwa chao. Mtaigawanya nchi kufuatana na makabila ya babu zenu. 55“ ‘Lakini kama hamkuwafukuza wenyeji wakaao katika nchi hiyo, wale mtakaowaruhusu wabaki watakuwa kama sindano kwenye macho yenu na miiba kwenu kila upande. Watawasumbua katika nchi mtakayoishi. 56Kisha nitawatenda ninyi kile ambacho nimepanga kuwatenda wao.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.