Native Bible

Numbers 32:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hatutarudi nyumbani mwetu mpaka kila Mwisraeli apokee urithi wake.

Numbers 32:18 in English

Numbers 32:18 · Berean Standard Bible

We will not return to our homes until every Israelite has taken possession of his inheritance.

Context

16Ndipo wakamjia Mose na kumwambia, “Tungalitaka kujenga mazizi hapa kwa ajili ya mifugo yetu na miji kwa ajili ya wanawake wetu na watoto. 17Lakini sisi tuko tayari kuchukua silaha zetu na kutangulia mbele ya Waisraeli mpaka tutakapowaleta mahali pao. Wakati huo wanawake wetu na watoto wataishi katika miji yenye ngome, kwa ajili ya ulinzi dhidi ya wenyeji wa nchi. 18Hatutarudi nyumbani mwetu mpaka kila Mwisraeli apokee urithi wake. 19Hatutapokea urithi wowote pamoja nao ngʼambo ya Yordani, kwa sababu urithi wetu umekuja kwetu upande wa mashariki ya Yordani.” 20Kisha Mose akawaambia, “Kama mtafanya jambo hili, kama mtajivika silaha mbele za Bwana kwa ajili ya vita,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.