Native Bible

Numbers 31:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Gawanyeni hizo nyara kati ya askari ambao walishiriki katika vita na kwa jumuiya.

Numbers 31:27 in English

Numbers 31:27 · Berean Standard Bible

Then divide the captives between the troops who went out to battle and the rest of the congregation.

Context

25Bwana akamwambia Mose, 26“Wewe na kuhani Eleazari pamoja na viongozi wa jamaa ya jumuiya mtahesabu watu wote na wanyama ambao walitekwa. 27Gawanyeni hizo nyara kati ya askari ambao walishiriki katika vita na kwa jumuiya. 28Kutoka fungu la wale waliokwenda kupigana vitani, tenga kama ushuru kwa ajili ya Bwana kitu kimoja kati ya kila mia tano, ikiwa ni wanadamu, ngʼombe, punda, kondoo au mbuzi. 29Chukua ushuru huu kutoka fungu lao, umpe kuhani Eleazari kama sehemu ya Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.