Native Bible

Numbers 31:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika siku ya saba fueni nguo zenu, nanyi mtakuwa safi. Kisha mtaweza kuingia kambini.”

Numbers 31:24 in English

Numbers 31:24 · Berean Standard Bible

On the seventh day you are to wash your clothes, and you will be clean. After that you may enter the camp.”

Context

22Dhahabu, fedha, shaba, chuma, bati, risasi, 23na kitu kingine chochote ambacho kinaweza kuhimili moto lazima mkipitishe kwenye moto, kisha kitakuwa safi. Lakini ni lazima pia kitakaswe kwa maji ya utakaso. Kitu chochote kisichoweza kuhimili moto lazima kipitishwe kwenye yale maji ya utakaso. 24Katika siku ya saba fueni nguo zenu, nanyi mtakuwa safi. Kisha mtaweza kuingia kambini.” 25Bwana akamwambia Mose, 26“Wewe na kuhani Eleazari pamoja na viongozi wa jamaa ya jumuiya mtahesabu watu wote na wanyama ambao walitekwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.