Hesabu 30:1
Numbers 30:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mose akawaambia viongozi wa makabila ya Israeli: “Hili ndilo Bwana analoagiza:
Numbers 30:1 in English
Numbers 30:1 · Berean Standard Bible
Then Moses said to the heads of the tribes of Israel, “This is what the LORD has commanded:
Context
1Mose akawaambia viongozi wa makabila ya Israeli: “Hili ndilo Bwana analoagiza: 2Mwanaume awekapo nadhiri kwa Bwana, au anapoapa kujifunga kwa ahadi, kamwe asitangue neno lake, bali ni lazima afanye kila kitu alichosema. 3“Wakati mwanamwali anayeishi bado nyumbani kwa baba yake atakapoweka nadhiri kwa Bwana, ama amejifunga mwenyewe kwa ahadi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.