Native Bible

Numbers 3:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutokana na wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli alikusanya fedha yenye uzito wa shekeli 1,365* kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu.

Numbers 3:50 in English

Numbers 3:50 · Berean Standard Bible

He collected the money from the firstborn of the Israelites: 1,365 shekels,* according to the sanctuary shekel.

Context

48Mpe Aroni na wanawe hizo fedha kwa ajili ya ukombozi wa idadi ya Waisraeli waliozidi.” 49Kwa hiyo Mose akakusanya fedha za ukombozi kutoka kwa wale ambao hesabu yao ilizidi wale waliokombolewa na Walawi. 50Kutokana na wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli alikusanya fedha yenye uzito wa shekeli 1,365* kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu. 51Mose akampa Aroni na wanawe ile fedha ya ukombozi, kama alivyoamriwa na neno la Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.