Native Bible

Numbers 29:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose akawaambia Waisraeli yale yote Bwana alimwagiza.

Numbers 29:40 in English

Numbers 29:40 · Berean Standard Bible

So Moses spoke all this to the Israelites just as the LORD had commanded him.

Context

38Ongeza beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, katika nyongeza ya sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka pamoja na sadaka ya kinywaji. 39“ ‘Zaidi ya kile unachoweka nadhiri na sadaka zenu za hiari, andaeni hizi kwa ajili ya Bwana kwenye sikukuu zenu zilizoamriwa: sadaka zenu za kuteketezwa, sadaka za nafaka, sadaka za vinywaji, pamoja na sadaka zenu za amani.’ ” 40Mose akawaambia Waisraeli yale yote Bwana alimwagiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.