Hesabu 26:37
Numbers 26:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Efraimu; wale waliohesabiwa walikuwa 32,500. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yosefu kwa koo zao.
Numbers 26:37 in English
Numbers 26:37 · Berean Standard Bible
These were the clans of Ephraim, and their registration numbered 32,500. These clans were the descendants of Joseph.
Context
35Hawa walikuwa wazao wa Efraimu kwa koo zao:
kutoka kwa Shuthela, ukoo wa Washuthela;
kutoka kwa Bekeri, ukoo wa Wabekeri;
kutoka kwa Tahani, ukoo wa Watahani; 36Hawa ndio walikuwa wazao wa Shuthela:
kutoka kwa Erani, ukoo wa Waerani. 37Hizi ndizo zilizokuwa koo za Efraimu; wale waliohesabiwa walikuwa 32,500.
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yosefu kwa koo zao. 38Wazao wa Benyamini kwa koo zao walikuwa:
kutoka kwa Bela, ukoo wa Wabela;
kutoka kwa Ashbeli, ukoo wa Waashbeli;
kutoka kwa Ahiramu, ukoo wa Waahiramu; 39kutoka kwa Shufamu, ukoo wa Washufamu;
kutoka kwa Hufamu, ukoo wa Wahufamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.