Native Bible

Numbers 26:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kutoka kwa Yashubu, ukoo wa Wayashubu; kutoka kwa Shimroni, ukoo wa Washimroni.

Numbers 26:24 in English

Numbers 26:24 · Berean Standard Bible

the Jashubite clan from Jashub,* and the Shimronite clan from Shimron.

Context

22Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa 76,500. 23Wazao wa Isakari kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Tola, ukoo wa Watola; kutoka kwa Puva, ukoo wa Wapuva; 24kutoka kwa Yashubu, ukoo wa Wayashubu; kutoka kwa Shimroni, ukoo wa Washimroni. 25Hizi ndizo zilizokuwa koo za Isakari; wale waliohesabiwa walikuwa 64,300. 26Wazao wa Zabuloni kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Seredi, ukoo wa Waseredi; kutoka kwa Eloni, ukoo wa Waeloni; kutoka kwa Yaleeli, ukoo wa Wayaleeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.