Native Bible

Numbers 22:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu akamjia Balaamu na kumuuliza, “Watu gani hawa walio pamoja nawe?”

Numbers 22:9 in English

Numbers 22:9 · Berean Standard Bible

Then God came to Balaam and asked, “Who are these men with you?”

Context

7Wazee wa Moabu na wa Midiani wakaondoka, wakiwa wamechukua ada ya uaguzi. Walipokwenda kwa Balaamu, wakamweleza kile Balaki alikuwa amesema. 8Balaamu akawaambia, “Mlale hapa usiku huu, nami nitawaletea jibu lile Bwana atakalonipa.” Kwa hiyo wakuu wa Moabu wakakaa naye. 9Mungu akamjia Balaamu na kumuuliza, “Watu gani hawa walio pamoja nawe?” 10Balaamu akamwambia Mungu, “Balaki mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu, alinipelekea ujumbe huu: 11‘Taifa ambalo limekuja kutoka Misri limefunika uso wa nchi. Sasa uje unilaanie hao watu. Kisha huenda nitaweza kupigana nao na kuwafukuza.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.