Native Bible

Numbers 22:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Balaamu alikwenda na Balaki mpaka Kiriath-Husothi.

Numbers 22:39 in English

Numbers 22:39 · Berean Standard Bible

So Balaam accompanied Balak, and they came to Kiriath-huzoth.

Context

37Balaki akamwambia Balaamu, “Je, sikukupelekea jumbe za haraka? Kwa nini hukuja kwangu? Hivi kweli mimi siwezi kukulipa?” 38Balaamu akajibu, “Vema, sasa nimekuja kwako. Lakini kwani nina uwezo wa kusema tu chochote? Ni lazima niseme tu kile ambacho Mungu ataweka kinywani mwangu.” 39Kisha Balaamu alikwenda na Balaki mpaka Kiriath-Husothi. 40Balaki akatoa dhabihu ya ngʼombe na kondoo; baadhi yake akampa Balaamu na wakuu waliokuwa pamoja naye. 41Asubuhi iliyofuata Balaki akamchukua Balaamu mpaka Bamoth-Baali, na kutoka huko Balaamu akawaona baadhi ya watu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.