Native Bible

Numbers 14:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakasemezana wao kwa wao, “Inatupasa kumchagua kiongozi na kurudi Misri.”

Numbers 14:4 in English

Numbers 14:4 · Berean Standard Bible

So they said to one another, “Let us appoint a leader and return to Egypt.”

Context

2Waisraeli wote wakanungʼunika dhidi ya Mose na Aroni, nalo kusanyiko lote wakawaambia, “Laiti tungekuwa tumefia humo nchi ya Misri! Au humu kwenye hili jangwa! 3Kwa nini Bwana anatuleta katika nchi hii ili tufe kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watachukuliwa kama nyara. Je, isingekuwa bora kwetu kurudi Misri?” 4Wakasemezana wao kwa wao, “Inatupasa kumchagua kiongozi na kurudi Misri.” 5Ndipo Mose na Aroni wakaanguka kifudifudi mbele ya kusanyiko lote la Kiisraeli lililokusanyika hapo. 6Yoshua mwana wa Nuni na Kalebu mwana wa Yefune, waliokuwa miongoni mwa watu wale waliokwenda kuipeleleza nchi, wakararua nguo zao,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.