Native Bible

Numbers 14:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiku ule watu wote wa jumuiya walipaza sauti zao na kulia kwa sauti kuu.

Numbers 14:1 in English

Numbers 14:1 · Berean Standard Bible

Then the whole congregation lifted up their voices and cried out, and that night the people wept.

Context

1Usiku ule watu wote wa jumuiya walipaza sauti zao na kulia kwa sauti kuu. 2Waisraeli wote wakanungʼunika dhidi ya Mose na Aroni, nalo kusanyiko lote wakawaambia, “Laiti tungekuwa tumefia humo nchi ya Misri! Au humu kwenye hili jangwa! 3Kwa nini Bwana anatuleta katika nchi hii ili tufe kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watachukuliwa kama nyara. Je, isingekuwa bora kwetu kurudi Misri?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.