Native Bible

Numbers 10:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose:

Numbers 10:1 in English

Numbers 10:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Moses,

Context

1Bwana akamwambia Mose: 2“Tengeneza tarumbeta mbili za fedha ya kufua, uzitumie kwa kuita jumuiya pamoja na wakati wa kuvunja makambi ili kuondoka. 3Tarumbeta zote mbili zikipigwa, jumuiya yote itakusanyika mbele yako katika ingilio la Hema la Kukutania.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.