Native Bible

Nehemiah 12:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa wafuatao walikuwa makuhani na Walawi ambao walirudi na Zerubabeli mwana wa Shealtieli pamoja na Yeshua: Seraya, Yeremia, Ezra,

Nehemiah 12:1 in English

Nehemiah 12:1 · Berean Standard Bible

Now these are the priests and Levites who went up with Zerubbabel son of Shealtiel and with Jeshua: Seraiah, Jeremiah, Ezra,

Context

1Hawa wafuatao walikuwa makuhani na Walawi ambao walirudi na Zerubabeli mwana wa Shealtieli pamoja na Yeshua: Seraya, Yeremia, Ezra, 2Amaria, Maluki, Hatushi, 3Shekania, Rehumu, Meremothi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.