Native Bible

Nehemiah 11:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baadhi ya makundi ya Walawi wa Yuda waliishi huko Benyamini.

Nehemiah 11:36 in English

Nehemiah 11:36 · Berean Standard Bible

And some divisions of the Levites of Judah settled in Benjamin.

Context

34katika Hadidi, Seboimu na Nebalati, 35katika Lodi na Ono, na katika Bonde la Mafundi. 36Baadhi ya makundi ya Walawi wa Yuda waliishi huko Benyamini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.