Nehemia 10:27
Nehemiah 10:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maluki, Harimu na Baana.
Nehemiah 10:27 in English
Nehemiah 10:27 · Berean Standard Bible
Malluch, Harim, and Baanah.
Context
25Rehumu, Hashabna, Maaseya, 26Ahiya, Hanani, Anani, 27Maluki, Harimu na Baana. 28“Watu wengine wote, wakiwa ni makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji, watumishi wa Hekalu,* na wale wote waliojitenga na mataifa jirani kwa ajili ya Sheria ya Mungu, pamoja na wake zao na wana wao na binti zao wote waliokuwa na uwezo wa kufahamu, 29basi hawa wote wanajiunga na ndugu zao na wakuu wao, na kujifunga kwa laana na kwa kiapo kufuata Sheria ya Mungu iliyotolewa kupitia kwa Mose mtumishi wa Mungu, na kutii kwa uangalifu amri zote, maagizo na sheria za Bwana, Bwana wetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.