Marko 7:18
Mark 7:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawajibu, “Je, hata nanyi hamwelewi? Je, hamfahamu kwamba kitu kimwingiacho mtu hakimtii unajisi?
Mark 7:18 in English
Mark 7:18 · Berean Standard Bible
“Are you still so dull?” He asked. “Do you not understand? Nothing that enters a man from the outside can defile him,
Context
16Kama mtu yeyote ana masikio ya kusikia na asikie.]” 17Akiisha kuuacha ule umati wa watu na kuingia ndani, wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano ule. 18Akawajibu, “Je, hata nanyi hamwelewi? Je, hamfahamu kwamba kitu kimwingiacho mtu hakimtii unajisi? 19Mtu akila kitu hakiingii moyoni mwake bali tumboni, na baadaye hutolewa nje ya mwili wake.” (Kwa kusema hivi, Yesu alivihalalisha vyakula vyote kuwa ni “safi.”) 20Akaendelea kusema, “Kile kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.