Marko 7:14
Mark 7:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akaita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni, kila mmoja wenu na mwelewe jambo hili.
Mark 7:14 in English
Mark 7:14 · Berean Standard Bible
Once again Jesus called the crowd to Him and said, “All of you, listen to Me and understand:
Context
12basi hawajibiki tena kumsaidia baba yake au mama yake. 13Kwa njia hiyo ninyi mnabatilisha neno la Mungu kwa mapokeo yenu mliyojiwekea. Nanyi mnafanya mambo mengi ya aina hiyo.” 14Yesu akaita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni, kila mmoja wenu na mwelewe jambo hili. 15Hakuna kitu kinachomwingia mtu kimtiacho unajisi, lakini kile kimtokacho ndicho kimtiacho unajisi. [ 16Kama mtu yeyote ana masikio ya kusikia na asikie.]”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.