Marko 6:44
Mark 6:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Idadi ya wanaume waliokula walikuwa 5,000.
Mark 6:44 in English
Mark 6:44 · Berean Standard Bible
And there were five thousand men who had eaten the loaves.
Context
42Watu wote wakala, wakashiba. 43Nao wanafunzi wake wakakusanya vipande vilivyosalia vya mikate na samaki, wakajaza vikapu kumi na viwili. 44Idadi ya wanaume waliokula walikuwa 5,000. 45Mara Yesu akawaambia wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda Bethsaida, wakati yeye alikuwa akiwaaga wale makutano. 46Baada ya kuwaaga wale watu, akaenda mlimani kuomba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.