Native Bible

Mark 6:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

akakileta kichwa chake kwenye sinia na kumpa yule msichana, naye yule msichana akampa mama yake.

Mark 6:28 in English

Mark 6:28 · Berean Standard Bible

The man brought John’s head on a platter and presented it to the girl, who gave it to her mother.

Context

26Mfalme akasikitika sana, lakini kwa sababu alikuwa ameapa viapo mbele ya wageni wake, hakutaka kumkatalia. 27Mara mfalme akatuma askari mmojawapo wa walinzi wake kukileta kichwa cha Yohana. Akaenda na kumkata Yohana kichwa humo gerezani, 28akakileta kichwa chake kwenye sinia na kumpa yule msichana, naye yule msichana akampa mama yake. 29Wanafunzi wa Yohana walipopata habari hizi, wakaja na kuuchukua mwili wake, wakauzika kaburini. 30Wale mitume wakakusanyika kwa Yesu na kumpa taarifa ya mambo yote waliyokuwa wamefanya na kufundisha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.