Marko 5:17
Mark 5:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi watu wakaanza kumwomba Yesu aondoke katika nchi yao.
Mark 5:17 in English
Mark 5:17 · Berean Standard Bible
And the people began to beg Jesus to leave their region.
Context
15Walipofika kwa Yesu, wakamwona yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu legioni akiwa ameketi hapo, amevaa nguo na mwenye akili timamu. Wakaogopa. 16Wale walioyaona mambo hayo wakawaeleza watu wengine yaliyomtokea yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu, na habari za lile kundi la nguruwe pia. 17Basi watu wakaanza kumwomba Yesu aondoke katika nchi yao. 18Yesu alipokuwa anaingia kwenye mashua, yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu akamsihi Yesu waende pamoja. 19Yesu hakumruhusu, bali alimwambia, “Nenda nyumbani kwa jamaa yako ukawaeleze mambo makuu aliyokutendea Bwana, na jinsi alivyokuhurumia.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.